Hifadhi nakala za faili zako kwa usalama

Hakuna toleo la Linux la programu ya Hifadhi ya Google kwa sasa. Tafadhali tumia Hifadhi ya Google kwenye wavuti na kwenye vifaa vyako vya mkononi.

Nenda kwenye Hifadhi ya Google

Sawazisha Hifadhi ya Google na kompyuta yako

Pekua na uangalie faili kwenye drive.google.com katika folda ya Hifadhi ya Google kwenye kompyuta yako.

Fungua, upange na ubadilishe faili yako yoyote.

Mabadiliko yote utakayoyafanya kwenye faili yatasawazishwa kila mahali.

Pata Hifadhi ya Google kwenye kompyuta ndogo, simu ya mkononi au kompyuta kibao

Weka Hifadhi ya Google katika Vifaa vyako vyote

Weka faili ndani ya Hifadhi kutoka kwenye kompyuta yako ya Mac na zitasawazishwa katika vifaa vyako vingine — kiotomatiki.

Pakua programu ya Kuhifadhi Nakala na Kusawazisha ya Windows

Pakua programu ya Kuhifadhi Nakala na Kusawazisha ya Mac

Sheria na Masharti ya Hifadhi ya Google

Kwa kutumia programu ya Kuhifadhi Nakala na Kusawazisha, unakubali Sheria na Masharti ya Google. Kama wewe ni mtumiaji wa G Suite, matumizi yako yanasimamiwa na Sheria na Masharti ya G Suite yanayohusika, au masharti ya G Suite yaliyoafikiwa, kama yapo.

By using Google Drive, you agree to the Google Terms of Service. If you are a Google Apps user, your use is subject to either the appropriate Google Apps Terms of Service, or the negotiated Google Apps terms, if applicable.